15 Akatengeneza mjeledi wa kamba, akawafukuza wote nje ya hekalu pamoja na kondoo na ng'ombe wao, akazitawanya sarafu za wenye kuvunja fedha na kupindua meza zao.
Kusoma sura kamili Yohane 2
Mtazamo Yohane 2:15 katika mazingira