Yohane 2:16 BHN

16 Akawaambia wale waliokuwa wanauza njiwa, “Ondoeni vitu hivi hapa. Msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa soko!”

Kusoma sura kamili Yohane 2

Mtazamo Yohane 2:16 katika mazingira