6 Yesu akawaambia, “Tupeni wavu upande wa kulia wa mashua nanyi mtapata samaki.” Basi, wakatupa wavu lakini sasa hawakuweza kuuvuta tena kwa wingi wa samaki.
Kusoma sura kamili Yohane 21
Mtazamo Yohane 21:6 katika mazingira