Yohane 21:7 BHN

7 Hapo yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu akamwambia Petro, “Ni Bwana!” Simoni Petro aliposikia ya kuwa ni Bwana, akajifunga vazi lake (maana hakuwa amelivaa), akarukia majini.

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:7 katika mazingira