8 Lakini wale wanafunzi wengine walikuja pwani kwa mashua huku wanauvuta wavu uliojaa samaki; hawakuwa mbali na nchi kavu, ila walikuwa yapata mita mia kutoka ukingoni.
Kusoma sura kamili Yohane 21
Mtazamo Yohane 21:8 katika mazingira