Yohane 21:9 BHN

9 Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.

Kusoma sura kamili Yohane 21

Mtazamo Yohane 21:9 katika mazingira