Yohane 3:5 BHN

5 Yesu akamjibu, “Kweli nakuambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu.

Kusoma sura kamili Yohane 3

Mtazamo Yohane 3:5 katika mazingira