Yohane 5:20 BHN

20 Baba ampenda Mwana, na humwonesha kila kitu anachokifanya yeye mwenyewe, tena atamwonesha mambo makuu kuliko haya, nanyi mtastaajabu.

Kusoma sura kamili Yohane 5

Mtazamo Yohane 5:20 katika mazingira