Yohane 6:64 BHN

64 Hata hivyo, wako baadhi yenu wasioamini.” (Yesu alisema hivyo kwani alijua tangu mwanzo ni kina nani wasioamini, na pia ni nani atakayemsaliti).

Kusoma sura kamili Yohane 6

Mtazamo Yohane 6:64 katika mazingira