Yohane 6:65 BHN

65 Kisha akasema, “Ndiyo maana niliwaambieni kwamba hakuna awezaye kuja kwangu asipowezeshwa na Baba yangu.”

Kusoma sura kamili Yohane 6

Mtazamo Yohane 6:65 katika mazingira