Yohane 7:22 BHN

22 Mose aliwapeni ile desturi ya kutahiri. (Si kwamba desturi hiyo ilitoka kwa Mose, bali ilitoka kwa mababu). Sasa nyinyi humtahiri mtu hata siku ya Sabato.

Kusoma sura kamili Yohane 7

Mtazamo Yohane 7:22 katika mazingira