23 Ikiwa basi, mtu hutahiriwa hata siku ya Sabato kusudi sheria isivunjwe, mbona mnanikasirikia kwa sababu nimemfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya Sabato?
Kusoma sura kamili Yohane 7
Mtazamo Yohane 7:23 katika mazingira