30 Basi, watu wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu kumkamata kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.
Kusoma sura kamili Yohane 7
Mtazamo Yohane 7:30 katika mazingira