Yohane 7:31 BHN

31 Wengi katika ule umati wa watu walimwamini, wakasema, “Je, Kristo akija atafanya ishara kubwa zaidi kuliko alizozifanya huyu?”

Kusoma sura kamili Yohane 7

Mtazamo Yohane 7:31 katika mazingira