Yohane 8:2 BHN

2 Kesho yake asubuhi na mapema alikwenda tena hekaluni. Watu wote wakamwendea, naye akaketi akawa anawafundisha.

Kusoma sura kamili Yohane 8

Mtazamo Yohane 8:2 katika mazingira