Yohane 8:3 BHN

3 Basi, waalimu wa sheria na Mafarisayo wakamletea mwanamke mmoja aliyefumaniwa katika uzinzi. Wakamsimamisha katikati yao.

Kusoma sura kamili Yohane 8

Mtazamo Yohane 8:3 katika mazingira