Yohane 9:11 BHN

11 Naye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Yesu alifanya tope, akanipaka machoni na kuniambia: ‘Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.’ Hapo, mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona.”

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:11 katika mazingira