Yohane 9:15 BHN

15 Basi, Mafarisayo wakamwuliza mtu huyo, “Umepataje kuona?” Naye akawaambia, “Alinipaka tope machoni, nami nikanawa na sasa naona.”

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:15 katika mazingira