Yohane 9:16 BHN

16 Baadhi ya Mafarisayo wakasema, “Mtu huyu hakutoka kwa Mungu, maana hashiki sheria ya Sabato.” Lakini wengine wakasema, “Mtu mwenye dhambi awezaje kufanya ishara za namna hii?” Kukawa na mafarakano kati yao.

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:16 katika mazingira