17 Wakamwuliza tena huyo mtu aliyekuwa kipofu, “Maadamu yeye amekufungua macho, wasemaje juu yake?” Naye akawaambia, “Yeye ni nabii!”
Kusoma sura kamili Yohane 9
Mtazamo Yohane 9:17 katika mazingira