Yohane 9:18 BHN

18 Viongozi wa Wayahudi hawakusadiki kwamba mtu huyo alikuwa kipofu hapo awali na sasa anaona, mpaka walipowaita wazazi wake.

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:18 katika mazingira