7 akamwambia, “Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.” (Maana ya jina hili ni “aliyetumwa”). Hapo, huyo kipofu akaenda, akanawa, kisha akarudi akiwa anaona.
Kusoma sura kamili Yohane 9
Mtazamo Yohane 9:7 katika mazingira