Yohane 9:8 BHN

8 Basi, jirani zake na wale waliokuwa wanajua kwamba hapo awali alikuwa maskini mwombaji, wakasema, “Je, huyu siye yule maskini aliyekuwa akiketi na kuomba?”

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:8 katika mazingira