Yohane 9:9 BHN

9 Baadhi yao wakasema, “Ndiye.” Wengine wakasema, “La! Ila anafanana naye.” Lakini huyo aliyekuwa kipofu akasema, “Ni mimi!”

Kusoma sura kamili Yohane 9

Mtazamo Yohane 9:9 katika mazingira