Yuda 1:6 BHN

6 Na, malaika ambao hawakuridhika na cheo chao, wakayaacha makao yao ya asili, Mungu amewafunga gizani kwa minyororo ya milele wahukumiwe siku ile kuu.

Kusoma sura kamili Yuda 1

Mtazamo Yuda 1:6 katika mazingira