Yuda 1:8 BHN

8 Hivyo ndivyo pia walivyo watu hawa. Ndoto zao huwaongoza katika kuichafua miili yao wenyewe, kuyadharau mamlaka ya Mungu na kuvitukana viumbe vitukufu vya huko juu.

Kusoma sura kamili Yuda 1

Mtazamo Yuda 1:8 katika mazingira