1 Wafalme 13:21 BHN

21 naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:21 katika mazingira