1 Wafalme 13:22 BHN

22 Badala yake, umerudi hapa, ukala chakula na kunywa maji mahali hapa ambapo uliambiwa usile chakula wala kunywa maji. Basi, mwili wako hautazikwa kwenye kaburi la babu zako.’”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:22 katika mazingira