1 Wafalme 13:25 BHN

25 Watu waliopitia hapo na kuiona maiti barabarani, na simba amesimama karibu nayo, wakaenda mpaka mjini alimokuwa anakaa yule nabii, wakawaambia watu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:25 katika mazingira