1 Wafalme 13:26 BHN

26 Nabii yule ambaye alikuwa amemkaribisha nyumbani kwake aliposikia habari hiyo, akasema, “Huyo ni yuleyule mtu wa Mungu aliyekataa kutii neno la Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu amemtuma simba, akamshambulia na kumwua kama alivyokuwa amemwambia.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:26 katika mazingira