1 Wafalme 13:28 BHN

28 Mzee akaenda, akaikuta maiti ya mtu wa Mungu barabarani, simba na punda wake kando yake; huyo simba hakuila maiti wala hakumshambulia punda.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:28 katika mazingira