1 Wafalme 13:29 BHN

29 Basi, huyo nabii mzee akaitwaa maiti ya mtu wa Mungu, akaiweka juu ya punda wake, akairudisha mjini Betheli, kuomboleza kifo chake na kumzika.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:29 katika mazingira