1 Wafalme 13:31 BHN

31 Baada ya mazishi, nabii huyo akawaambia wanawe, “Nikifa, nizikeni katika kaburi hilihili alimozikwa mtu wa Mungu; mifupa yangu kando ya mifupa yake.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:31 katika mazingira