1 Wafalme 13:32 BHN

32 Mambo yote aliyoagizwa na Mwenyezi-Mungu dhidi ya madhabahu ya Betheli, na mahali pote pa kutambikia vilimani Samaria, hakika yatatimia.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:32 katika mazingira