1 Wafalme 13:33 BHN

33 Yeroboamu hakuuacha upotovu wake; aliendelea kuteua watu wa kawaida kuwa makuhani, wahudumie mahali pa kutambikia vilimani. Mtu yeyote aliyejitolea, alimweka wakfu kuwa kuhani wa mahali pa kutambikia huko vilimani.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:33 katika mazingira