1 Wafalme 13:4 BHN

4 Mfalme Yeroboamu aliposikia maneno hayo ya mtu wa Mungu dhidi ya madhabahu huko Betheli, alinyosha mkono akasema, “Mkamateni huyo!” Na mara huo mkono wake aliounyosha, ukakauka, asiweze tena kuukunja.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:4 katika mazingira