1 Wafalme 13:5 BHN

5 Madhabahu nayo ikabomoka, na majivu yake yakamwagika chini, kama ishara ile aliyoitoa huyo mtu wa Mungu na ujumbe wa Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 13

Mtazamo 1 Wafalme 13:5 katika mazingira