1 Wafalme 15:29 BHN

29 Mara tu alipoanza kutawala, Baasha akawaua watu wote wa jamaa ya Yeroboamu; hakuacha hai hata mtu mmoja wa jamaa ya Yeroboamu; hiyo ilikuwa sawa na yale aliyosema Mwenyezi-Mungu kwa njia ya mtumishi wake, Ahiya wa Shilo.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:29 katika mazingira