1 Wafalme 15:30 BHN

30 Mambo haya yalifanyika kwa sababu Yeroboamu alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa dhambi yake na kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:30 katika mazingira