1 Wafalme 15:33 BHN

33 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya, alianza kutawala Israeli kutoka Tirza. Alitawala kwa muda wa miaka ishirini na minne.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:33 katika mazingira