1 Wafalme 15:34 BHN

34 Baasha alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kutenda dhambi ileile ambayo aliwafanya watu wa Israeli watende.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:34 katika mazingira