1 Wafalme 15:4 BHN

4 Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi, Mwenyezi-Mungu alimpatia Abiya mwana atakayetawala baada yake, kuwa taa ya kuangaza Yerusalemu na kuuweka imara mji wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:4 katika mazingira