1 Wafalme 15:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 15

Mtazamo 1 Wafalme 15:5 katika mazingira