1 Wafalme 18:15 BHN

15 Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: Leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:15 katika mazingira