1 Wafalme 18:16 BHN

16 Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:16 katika mazingira