1 Wafalme 18:18 BHN

18 Elia akamjibu, “Mtaabishaji wa Israeli si mimi, bali ni wewe na jamaa ya baba yako. Nyinyi mmekiuka amri za Mwenyezi-Mungu na kuabudu Mabaali.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:18 katika mazingira