1 Wafalme 18:31 BHN

31 Alitwaa mawe kumi na mawili, hesabu ya makabila kumi na mawili yaliyopewa majina ya wana wa Yakobo ambaye Mwenyezi-Mungu alimwambia “Jina lako litakuwa Israeli.”

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:31 katika mazingira