1 Wafalme 18:32 BHN

32 Kwa mawe hayo, Elia alimjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akachimba na mtaro kuizunguka madhabahu hiyo; mtaro uwezao kuchukua kama debe moja na nusu la nafaka.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:32 katika mazingira