1 Wafalme 18:33 BHN

33 Kisha akapanga kuni vizuri, akamkata vipandevipande yule fahali, akaviweka juu ya kuni. Kisha akawaambia watu, “Jazeni mitungi minne maji mkaimwagie tambiko hii ya kuteketezwa pamoja na kuni.” Wakafanya hivyo.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:33 katika mazingira