1 Wafalme 18:40 BHN

40 Ndipo Elia akawaambia, “Wakamateni manabii wote wa Baali. Msimwache hata mmoja wao atoroke!” Basi, watu wakawakamata wote, naye Elia akawapeleka mtoni Kishoni, akawaulia huko.

Kusoma sura kamili 1 Wafalme 18

Mtazamo 1 Wafalme 18:40 katika mazingira